inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

VITABU VYETU


“Mtazamo Wako Ni Upi?” ni swali mahsusi kwa kila mwanajamii mpenda maendeleo; ukizingatia kuwa “Mtazamo Wako Ni Maisha Yako”. Nasema hivyo nikimaanisha kuwa, jinsi tunavyojichukulia na kujiona tukijilinganisha na uhalisia wa maisha na wa watu wengine ni taswira tosha ya maisha yetu. Hivyo, mtazamo wetu wa maisha huchangia kwa kiasi kikubwa katika mafanikio au kushindwa maishani kutegemeana na aina ya mtazamo
tulionao.

Katika kitabu hiki mwandishi makini anakuleta moja kwa moja na kukuonyesha mbinu stahiki- hatua kwa hatua ili kuuweka mtazamo wa maisha yako katika hali iliyo thabiti, yenye kuleta mafanikio na furaha maishani.

Nyanja mbali mbali zenye kuhitaji mabadiliko au maboresho ya kimtazamo kama biashara, elimu, ajira, maisha na malezi ya familia yenye maadili na mazingira zimeainishwa kwa mifano fasaha, pia katika hatua na mbinu stahiki ili kukuwezesha msomaji kufuatilia mbinu moja hadi nyingine kujiletea mabadiliko chanya.Natumaini kila mtu anapenda kufanikiwa kimaisha, hivyo ni vyema kuzijua mbinu tajwa ndani ya kitabu hiki zitakazokupeleka kwenye mtazamo wa mafanikio maishani.

Kitabu hiki si cha kukikosa, kinampa msomaji uhuru wa kuchagua kusoma SURA aipendaye kwa wakati husika. Ni kitabu rafiki kwa kila mpenda maendeleo na mabadiliko yenye mafanikio maishani.


SOMA ONLINE SASA!


____________________________

KAA MKAO WA KUSUBIRI KITABU HIKI KIPYA!

 



Ahsante na Karibu.

Wasiliana na mwandishi,
+255(0) 754 572 143

Maoni 4 :

  1. Hakika kazi yako ni nzuri na unaitaji pongezi, je mawakala wa vitabu vyako kwa Tanzania wanapatikana maeneo yapi?

    JibuFuta
  2. Ahsante sana Andrew,
    Tumeweza kuifikia mikoa minne: Dar es salaam, Iringa,Kilimanjaro na Arusha.
    Samahani naomba fuata link http://jielimishekwanza.blogspot.com/2015/01/font-definitions-font-face-font.html kuona mawakala.
    Ahsante kwa kupitia Jielimishe Kwanza Blog.
    Karibu sana.

    JibuFuta
  3. mimi naitwa makweba joram niko iringa ruaha catholic university,nawezaje kupata vitabu vyenu?

    JibuFuta
    Majibu
    1. Habari Makweba,
      Wasiliana na huyu 0762 530 278 (Joyce Kazula) Utakipata.Samahani kwa kuchelewa kukujibu.
      Henry Kazula.

      Futa