#HiiItakusaidiaKuongoza na Henry Kazula
Ili kujenga Timu yenye ufanisi/mafanikio katika Shirika/Kampuni, nakubaliana
kabisa na msemo wa wahenga usemao; "Umoja ni nguvu, utengano ni
udhaifu", lakini ifahamike kuwa Nguvu ya Timu dhabiti ipo katika 'nguvu'
na jitihada ya kila mmoja. Hatuwezi kusema kuna umoja wenye nguvu ikiwa
wachache ndani ya Timu ni 'wadhoofu'. Hivyo, ili kujenga Timu yenye nguvu
unapaswa kuangalia 'nguvu' (ujuzi/uwezo/utayari) binafsi wa kila mtendaji.
Picha:https://www.the1thing.com/ |
Imetolewa na
Jielimishe Kwanza Blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni