inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Ijumaa, 10 Mei 2013

NUKUU MAARUFU

  AMANI NA UPENDO:
"Hakuna mtu aliyezaliwa akimchukia mwingine eti kwasababu a rangi yake, au asili yake au dini yake.Watu hujifunza kuchukia, na kama wameweza kujifunza kuchukia, wanaweza kufundishwa kupenda, kwa maana upendo ni asili ya mwanadamu na hutoka moyoni kuliko kuchukia."
                                                                                                                                                           

ELIMU:

Mwl.Julius Kambarage Nyerere
 1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutoa mfumo wa kuwapatia pesa wananchi hasa masikini, alisema "Njia nzuri ya kuwapatia pesa masikini,kila familia  ni kuelimisha watoto wao kwa kuwapa elimu bora.Hakuna namna nyingine,uongo tu, namna nyingine mtapata taabu tu...Serikali haichukui pesa hivi na kusema masikini njooni! halafu inawapa pesa hivi, hakuna! Serikali ya wapi inafanya hivi?...Mwl.J.K.Nyerere.

  Nelson Mandela
 2. Nelson Mandela alieleza kishujaa kuwa "Elimu ni silaha pekee kuliko zote unayoweza kuitumia kubadilisha maisha". 

  William Yeats
 3. "Elimu si sawa na kuijaza ndoo,bali ni kama kuwasha moto"-William Yeats. 
 4. "Kujifunza kwa kuhusianisha mawazo na uhalisia wa mambo au vitu vilivyotuzunguka ni njia nzuri ya kujipatia ujuzi na maarifa, pia kumbukumbu ya muda mrefu" -Henry Kazula. 

                                                                                                  

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni