Henry Kazula |
Kazula mekuwa mstari wa mbele kuhamasisha mtazamo chanya katika nyanja za ajira, elimu, mazingira na biashara kupitia makala mbali mbali zilizosheheni ndani ya Blog hii maarufu iliyojinyakulia nafasi ya pili kitaifa kwa mwaka 2013 kama “The Best Inspirational Blog in Tanzania”.
Pia, Kazula ni mjasiriamali, mwandishi wa blog hii, pia kitabu Mtazamo Wako Ni Upi? kilichovutia wasomaji wengi na Mhariri mkuu wa blog hii, mwelimishaji jamii, mhamasishaji
wa hadhara na mtaalam wa masuala ya saikolojia ya malezi na mazingira, amekuwa
bega kwa bega katika shughuli mbali mbali za maendeleo ya vijana na jamii kwa
ujumla hasa alipokuwa akishirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali kama; “Youth for Africa (YoA)” na “Global Platform-Actionaid Tanzania” yote
ya jijini Dar es salaam katika ujasiriamali na ujasiriamali jamii, pia kuibua
mbinu za pamoja kutatua changamoto za ukosefu wa ajira kwa vijana.
Hayuko nyuma sana katika
kujiendeleza kielimu, mwanzoni mwa mwaka 2014 alianza kufanya shahada ya
uzamili ya Sayansi ya Mazingira yenye vionjo vya Biashara na Ujasiriamali
katika Chuo kikuu cha Sayansi naTeknolojia-Nelson Mandela, Arusha-Tanzania.
Mawasiliano:
Simu ya mkononi. +255 754 572 143
Barua pepe: jielimishekwanza@gmail.com
__________________________________________________________________________________ Emmanuel C. Zongwe |
Mawasiliano:
Simu ya mkononi: +255 (0)755223697
+255 (0)717058045
Barua pepe: ezongwe@yahoo.com
+255 (0)717058045
Barua pepe: ezongwe@yahoo.com
___________________________________________________________________________________
Francis Ndemela |
Francis
Ndemela ni mtaalamu wa Mazingira mwenye Shahada ya kwanza ya Jiografia
na Mazingira (Geography and
Environmental Studies) ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Kwa sasa Francis
anafanya kazi kama Mratibu wa kitengo cha Mazingira na uelimishaji kwenye
kampuni hii ya "Jielimishe Kwanza Social
Enteprise."
Mawasiliano
Simu
ya mkononi: +255 718 146 204/ +255 684
345 034
Barua
pepe: francisrodgerz@gmail.com
_________________________________________________________________________________
Saumu Issa Rajabu |
Ms. Saumu currently is working with “Jielimishe Kwanza Social Enterprise” as a part time worker as an Event and Training Coordinator. She previously worked with the “Ignite the Youth in Africa” as Volunteer from Tanzania to inspire the future generation of African Youth, currently Saumu serve as an “Alumni of Ignite the Youth.”
Ms Saumu is holding a bachelor degree in Community development with bias in Management of community development programs from “Tengeru Institute of Community Development” in Arusha. She is very passionate about youth and women in empowerment issues, which gives her an inspiration of whom she should be every day, serving others, uplifting others, and inspiring others. Her best ambitious is being in a position where she can be a role model to other ambitious youth in Tanzania, Africa and around the word. She believe that the only direction which can make her dreams come true is through networking and engaging in different seminars, events conferences, working hard and being confidence towards positive direction of her career.
Email: saumuisser@yahoo.com
_________________________________________________________________________________
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni