-->
mwanzilishi na mkurugenz mtendaji wa kampuni ya vifaa vya nishati ya jua iitwayo "Helvetic Solar Contractors."FUATILIA MAHOJIANO NA "GEORGE MEDIA NETWORK" KUPITIAhttp://www.georgenetwork.com/feature/exclusive_interview_with_managing_director_patrick_ngowi.html
20.UNAJITAHIDI KUJIFUNZA KUPITIA WATU
WALIOFANIKIWA, PIA UNATENGENEZA MTANDAO WA MAWASILIANO NA WATU HAO
Ni mtazamo tu wa Jielimishe Kwanza! kwa kuzingatia taarifa za mafanikio ya vijana.
Kupitia makala kuhusu vijana na maisha-KWA
HIZI SIFA 10, KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 18-35 UNAKARIBIA KUWA TAJIRI!
Nilieleza sifa hizo kwa kuzingatia mifano ya matajiri vijana maarufu duniani,
nilitoa mfano wa mjasiriamali pia mwanzilishi mwambata wa mtandao wa
kijamii-Facebook Mark Elliot Zuckerberg. Soma http://jielimishekwanza.blogspot.com/2013/07/vijana-na-maisha-kwa-hizi-sifa-10.html
Huyu ni kijana mwenzetu, Mtanzania, mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa akiwa ni
Patrick Ngowi, mwanzilishi na Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Helvetic Solar Contractors (Picha na www.bongo5.com) |
Ufuatao ni muendelezo wa sifa hizo 10 ambazo
kijana yeyote anapaswa kuzifuata kwa vitendo ili kutimiza ndoto ya kuwa tajiri.
(Sifa hizi hazipo kwa mtiririko...pia si lazima uwe nazo zote, lakini unaweza ukawa nazo chache na zikakufanya uwe nazo zote.Anza sasa kubadilika kwa vitendo!)
11.HUOGOPI KUJITOA MUHANGA NA KUPAMBANA NA
HATARI (RISK TAKER)-Soma http://jielimishekwanza.blogspot.com/2013/06/vijana-na-maisha.html
12.UNAJARIBU KUJISHUGHULISHA NA BIASHARA
TOFAUTI TOFAUTI…UKIJIFUNZA KWA MAKOSA -soma pia sifa ya 1 kupitia http://jielimishekwanza.blogspot.com/2013/06/vijana-na-maisha.html
13.UNAJITAHIDI KUHUSISHA UNACHOFAHAMU(HASA
KIPAJI CHAKO) NA UTENDAJI HALISI-UNAKUWA MBUNIFU
14.UNATAMBUA UWEZO WAKO WA KUTENDA NA SI
KULAZIMISHWA NA MTU MWINGINE
15.UNAJIONGOZA MWENYEWE KWA KUWA UNATAMBUA
HATMA YA MAISHA YAKO IPO MIKONONI MWAKO
16.UNASIMAMIA JAMBO(wazo la biashara) HADI
KIELEWEKE, HUTAKI KUYUMBISHWA, HUJALI WATU WANASEMA NINI KUHUSU UAMUZI WAKO
17.HUOGOPI KUKATISHWA TAMAA, UNAJIAMINI NA
KUSONGA MBELE
18.UNA MALENGO MAKUBWA, HURIDHIKI NA VIDOGO (soma zaidi
19.UNAANDIKA MALENGO YAKO NA KUYAFANYIA KAZI
KWA MUDA ULIOJIPANGIA UKIWA NA MTAZAMO CHANYA- Soma zaidi http://jielimishekwanza.blogspot.com/2013/06/mtazamo.html
Ni mtazamo tu wa Jielimishe Kwanza! kwa kuzingatia taarifa za mafanikio ya vijana.
USIKATE TAMAA…
CHUKUA HATUA YA
UJASIRI KUBADILIKA!
Imetolewa na
Jielimishe Kwanza!