Umewahi
kujiuliza ni sababu ipi inawafanya wana taaluma ya uandishi na wengine waandike
vitabu? au kuna ujumbe gani ndani ya vitabu usioweza kutolewa kwa njia nyingine
za habari na mawasiliano tunazozijua kama televisheni,video,majarida au
magazeti?
______________
Leo naomba
nikujuze kuhusu siri kubwa iliyopo ndani ya vitabu.Ukiwa ni msomaji wa vitabu
au si msomaji fahamu hili:
Nitaanza kwa
kumnukuu mwandishi maarufu wa vitabu Dr.Suess akianisha moja ya siri;
The more you read,the more things you will know.The more you learn,the more places
you’ll go.Kwa tafsiri ya lugha ya Kiswahili:
“kadri usomavyo vitabu utafahamu vitu
vingi.Kadri usomavyo utatembelea sehemu nyingi.”
Pia kusoma ni sawa na kusikiliza na kuongea na sauti
ya mtu mwenye maarifa aliye mbali.
Zifuatazo ni faida nyingine utakazopata ndani ya
vitabu (faida zimeambatanishwa na nukuu maarufu-kama zilivyo kwa lugha ya Kiingereza zinazohusiana na kusoma vitabu):
1.Utakutana na watu maarufu wenye mafanikio,
walioishi na wanaoishi duniani.Utajifunza mapitio yao ili na wewe ufanikiwe
kimaisha
“You think your pain and your heartbreak are unprecedented in the
history of the world, but then you read. It was books that taught me
that the things that tormented me most were the very things that
connected me with all the people who were alive, or who had ever been
alive.”
―
James Baldwin
“A great book should leave you with many experiences, and slightly exhausted at the end. You live several lives while reading.”
― William Styron, Conversations with William Styron
― William Styron, Conversations with William Styron
2.Ukianza kusoma kitabu kimoja utafahamishwa
zaidi kuhusu vitabu vingine vizuri
“A reader lives a thousand lives before he dies, said Jojen. The man who never reads lives only one.”
― George R.R. Martin, A Dance With Dragons
― George R.R. Martin, A Dance With Dragons
3.Utajulishwa mbinu nyingi za kuishi na watu
vizuri…ukiziweka katika utendaji utafanikiwa kuishi na watu vizuri
“Reading, after a certain age, diverts the mind too much from its
creative pursuits. Any man who reads too much and uses his own
brain too
little falls into lazy habits of thinking.”
―
Albert Einstein
4.Utapata marafiki ambao kwako watakuwa kama
kioo na utapenda kufuatilia maisha yao ili utimize matakwa yako ya kufanikiwa
kimaisha.
“Books are mirrors: you only see in them what you already have inside you.”
―
Carlos Ruiz Zafón,
The Shadow of the Wind
5.Utajulishwa vitu na masuala usiyoyafahamu
hivyo kupata ufahamu na kuongeza mbinu za utendaji kazi.
“In the case of good books, the point is not to see how many of them you
can get through, but rather how many can get through to you.”
―
Mortimer J. Adler
6.Kiafya utaondoa msongo wa mawazo na kuongeza
upeo wako wa kufikiri
“Think before you speak. Read before you think.”
7.Suala zima la kusoma kitabu huburudisha ubongo na kuufanya ufikiri vizuri
“Let us read, and let us dance; these two amusements will never do any harm to the world.”
―
Voltaire
“Many people, myself among them, feel better at the mere sight of a book.”
― Jane Smiley, Thirteen Ways of Looking at the Novel
8.Ukisoma kitabu unaupa ubongo mazoezi ya kutafakari katika hali halisi.
“Reading is to the mind what exercise is to the body.”
― Joseph Addison
― Joseph Addison
Kama ulikuwa
husomi vitabu anza kujisomea sasa ujionee siri hii ya ajabu.
Jielimishe
Kwanza! imewahi kufanya mahojiano na watu mbali mbali-hasa wasomi kama wana
utamaduni wa kusoma vitabu baada ya kuhitimu masomo yao.Kiuhalisia wengi
hawasomi vitabu kutokana na visingizio tofauti tofauti.
Wengine wanasema wanapumzika kusoma vitabu baada ya kazi nzito
waliyoifanya wakiwa masomoni.
Wengine
wanasema wanaona uvivu kusoma vitabu,wengine wanasema hawana muda kabisa wa
kusoma vitabu, yaani wametingwa na kazi.
“If you don't have time to read, you don't have the time (or the tools) to write. Simple as that.” ― Stephen King
“No matter how busy you may think you are, you must find time for reading, or surrender yourself to self-chosen ignorance.”
― Atwood H. Townsend
― Atwood H. Townsend
Wakati
mwingine nitakuletea “mbinu za kuanza
kusoma kitabu" na hatimaye kujikuta unapenda kusoma vitabu.
Imetolewa na
Jielimishe Kwanza!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni