Habari za mshtuko zimetolewa jana na kuleta taharuki nchini Ugiriki na ulimwengu kwa ujumla.
Picha kutoka: http://www.happensingreece.com |
Ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkuu kuhusu ugonjwa wa Ukimwi (AIDS) utakaofanyika
Novemba 25-27 mjini Athens-Ugiriki, Mkurugenzi wa 3 katika kitengo cha ndani cha Msalaba Mwekundu M.Lazanas amesema kuwa;
Novemba 25-27 mjini Athens-Ugiriki, Mkurugenzi wa 3 katika kitengo cha ndani cha Msalaba Mwekundu M.Lazanas amesema kuwa;
"watumiaji wengi wa madawa ya kulevya wanasaka kwa jitihada kujiambukiza virusi vya Ukimwi ili waweze kuingia kwenye mpango wa serikali wa kulipwa "euro 700" ni sawa (Sh.1,499,409.45 za Kitanzania) kama posho ya kila mwezi kwa waathirika wa Ukimwi.
Kumekuwa na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi(HIV) hasa kwa watumiaji wa madawa ya kulevya.Sababu kubwa ni kutumia sindano zilitumika kujidunga na kupitia ngono zembe.
Wakati huo huo, tumegundua kuwa watu wenye maisha duni, kutokana na uchumi mbovu wameingia katika mkumbo huu ili wapate Euro 700..."
Vipi hii ikitokea Tanzania, serikali itangaze kulipa waathirika wa Ukimwi hizo sh.milioni 1.5? Toa maoni kupitia ukurasa wetu wa facebook;
jielimishe.kwanza@facebool.com
Imetolewa na Jielimishe Kwanza!
Kwa msaada wa
http://www.happensingreece.com

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni