inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Jumamosi, 15 Juni 2013

FAMILIA: SIKU YA BABA....




Picha na www.bagboys.net
Ni siku kuu ya kutoa heshima kwa baba na kuheshimu umuhimu wa baba katika jamii.Siku hii husheherekewa pande nyingi za dunia hasa katika  siku Jumapili ya tatu ya mwezi Juni.Mwaka huu imeangukia tarehe 16/06/2013.

Siku hii ilianzishwa nchini Marekani katika karne ya 20 ili kuendana na Siku ya mama, pia kuonyesha na kukamilisha upendo kwa wazazi-baba na mama.

Siku ya baba  ilianzia mjini Spokane,Washington katika eneo la YMCA mwaka 1910 na Sonora Smart Dodd, aliyezaliwa Arkansas.

Ni vyema tukajumuika kuienzi siku hii muhimu ili kuthamini uwepo na juhudi za baba kwenye familia na jamii kwa ujumla.

Soma zaidi: http://en.wikipedia.org/wiki/Father%27s_Day

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni