inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Ijumaa, 14 Juni 2013

MUZIKI:POMBE-"DEAR GAMBE" Young Killer akishirikiana na Belle 9




Ni ujumbe mzito kutoka kwa msanii mchanga Young Killer akishirikiana na Belle 9 ukiwalenga wale wote waliobobea katika suala zima la unywaji pombe...pombe imekuwa king'ang'anizi kama ilivyo suala la mapenzi, yaani kama mtu akimpenda mtu mwingine.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya-Young Killer.Picha imetolewa sikilizamdundo.blogspot.com

Ukisiliza wimbo huu kwa haraka haraka  unaweza kufikiri ni wa mapenzi ya kawaida...
Haya twende pamoja tuitazame video yake:




MASHAIRI YA YOUNG KILLER - "DEAR GAMBE"
 
VERS 1;

Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe,
MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe,
MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,
Uwepo wako karibu vp unafanya ni yumbe,
Kila muda kwene friji unajipoza,
MI domo zege nikisha kutumia natongoza,
Nalewa usiku kucha jua lina chomoza,
Nasindikiza na supu asuhi njema unaniongoza,
We ni nani unaiyendesha hi akili,
Nnikiwa na mawazo unanitoa stress nisifikili,
Ukiwa mezan chupa kadhaa sijiwezi,
Mpaka mtaani washa nipa jina jingine la mlevi,
Unafanya nafubaa mi mwenzako,
Hadi kazini naiba chapaa nije kwako,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako..

VERS 2;

Unafanya ndoa nyingi zinavunjika,
Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika,
Aukatai kila mteja anae kuarika,
Unafurahi na ubaridi wa maji una chilizika,
Likitokea tatizo we ndo kimbilio,
Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio,
Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio,
We ni funda la ziada unaniumbua mi mwenzio,
Unarainisha koo kifikla unani bembeleza,
Unani kontro sijasoma naongea hadi kingereza,
Usha niweza nani aliye kutengeneza,
Na nini aliwaza nawe ni mbaya kwa wasio jiweza,
Sa najinyea  nanilikunywa kwa furaha,
Najikojolea unani athiri na ninatoa cha paa,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako..

VERS 3;

Dear gambe unanichanganya sana,
Unamajina mengi mpaka ya mbuga za wanyama,
Nashangaa,mengine yanatia kinyaa,
Mfano mzuri nigongo chimpumu hata cha ng"aa,
Kwenye ubongo  umetawala kila secta,
Niukweri siwezi kua nawe bila pesa,
Watu wengine wana kula ada kisa wewe.
Unawafanya wanasahau ibada,
Na juzi juzi tu nimepata khabari,
Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajaLI,
Dear gambe nikweli unanichosha,
Napenda kua nawe ila nyumbani mboga wanakosa,
Nawaza jinsi gani ntakuacha,
Mpaka wazalendo wa dini bahadhi kwako wame data,\
Hakuna utata poa sasa najikata,
Kapuku nikizipata ntakufata...

Mashairi yametolewa:
http://www.sammisago.com/2013/01/mashairi-ya-young-killer-dear-gambe.html

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni