inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Jumamosi, 27 Julai 2013

ELIMU NA MAFUNZO:KWA KUTHAMINI UWEZO NA KIPAJI CHA KILA MWANADAMU ALICHOPEWA NA MUNGU, PIA KUTAMBUA FURSA NYINGI ZILIZOPO NA ZINAZOHITAJIKA KUTATUA MATATIZO LUKUKI KATIKA JAMII YETU...



 






Jielimishe Kwanza! IKISHIRIKIANA NA KAMPUNI YA 
Science &Fine arts Resource Centre (SFRC) http://www.sfrctanzania.blogspot.com/ JIJINI DAR ES SALAAM WANAKULETEA MAFUNZO YA KIPEKEE YANAYOWAHUSISHA VIJANA-WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI NA KUTENGWA NA MFUMO WA ELIMU
(...WAMEFELI KUENDANA NA MFUMO WA ELIMU NA SI WA MAISHA).

TUNAAMINI KUWA KUSHINDWA KUENDANA NA MFUMO RASMI WA ELIMU SIYO MWISHO WA KUTIMIZA NDOTO YAKO KATIKA MAISHA, PIA SI KUSHINDWA MAISHA!

UKIWA UPO KWENYE KUNDI HILO, AU UNA MTOTO,NDUGU,RAFIKI ALIYE KATIKA KUNDI HILO NA MMEKATA TAMAA...

             KWA MAELEZO ZAIDI, TUWASILIANE KUPITIA
SIMU YA KIGANJANI: 0754 572 143         
                                          0716 075 826          
                                0785 175 157

 KUPITIA MAFUNZO YETU, KIJANA ATAELEKEZWA KUJITAMBUA KUENDANA NA KILE ANACHOKIFAHAMU NA MATAKWA YA NDOTO ZAKE!

MAFUNZO YATAANZA TAREHE 15 AGOSTI 2013 

WAHI NAFASI YAKO MAPEMA,KUNDI HILI NI KUBWA SANA KATIKA NCHI YETU

            KARIBU SANA!