Rais wa Marekani Barack Obama akiongea na waandishi wa Habari wageni na wenyeji katika viwanja vya Ikulu ya Tanzania. (Picha na www.adn.com) |
Obama azindua mradi mpya ujulikanao kama “Trade Africa” katika ziara
yake nchini Tanzania ambao utazihusisha nchi za ukanda wa Afrika Mashariki
zenye jumla ya watu milioni 130.Mradi huo unatarajiwa kuwa endelevu, Ikulu ya
Marekani-“White House” imesema.
Suala la usafirishaji wanyamapori na kuhifadhi viumbe kama tembo na
faru lilipewa uzito wa juu na kusainishana mkataba kusaidia kutatua tatizo
hilo.Washington itatoa kiwango kingine cha dola milioni 10 za Kimarekani kwa
kuhifadhi viumbe. Ikulu ya Marekani-“White House” imesema.
Chanzo cha Habari:
http://www.reuters.com/article/2013/07/01/us-obama-tanzania-idUSBRE9600IU20130701
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni