Katika kuazimisha miaka 37 ya maonyesho ya biashara katika viwanja vya Mwl.Julius K.Nyerere, Wizara ya maliasili na utalii kupitia hifadhi ya misitu Sao Hill wanaonyesha kuwa misitu inatakiwa kupewa kipaumbele na inaweza kutumika kutengeneza vitu vingi mfano gari unaloliona.Pichani pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jielimishe Kwanza! akiwa katika banda la Hifadhi ya misitu (Sao Hill).
UJUMBE: TUNATAKIWA KUHIFADHI MISITU, INA MATUMIZI MENGI KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU.
HIVYO BASI TUHAKIKISHE TUNAPANDA MITI YA KUTOSHA KABLA YA KUWA NA WAZO LA KUKATA MTI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni