Taarifa iliyotolewa na Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na kuwasaidia watu wenye Albinism nchini Tanzania "UNDER THE SAME SUN" imethibitisha kuwa;
Picha na shadmia.wordpress.com |
"Zaidi ya asilimia 90% ya watu wenye albinism nchini Tanzania hufariki dunia wakiwa na umri wa miaka 30 kutokana na maradhi ya saratani ya ngozi yanayosababishwa na kutojikinga dhidi ya mionzi ya jua.
________
Jikinge! Wakinge! wengine na athari ya mionzi ya jua kwa kuvaa kofia, miwani ya jua, nguo zinazofunika mwili na kupaka mafuta maalum kwenye ngozi!
Taarifa hii imetolewa kupitia kipeperushi cha "UNDER THE SAME SUN" Tanzania siku maonyesho Saba Saba 2013.
Kuhusu huduma zitolewazo na "UNDER THE SAME SUN"
soma zaidi:www.underthesamesun.com
Imetolewa na
Jielimishe Kwanza!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni