Jumanne,21 Mei 2013
Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka kwa watu wengi kubebea chakula mfano chips kwenye mifuko ya rambo, na mara tu wakiisha maliza uhitaji wao wa chakula huzitupa rambo hizo hovyo bila kujali madhara kwao na mazingira.
Utakubaliana
na mimi kuwa mazingira yetu yamezungukwa na takataka nyingi hasa mifuko
ya rambo.Kila mtu amechukulia ni sehemu ya matumizi ya kawaida tu
kutumia mifuko hiyo ambayo inaelezwa kitaalamu kuwa haiozi na kwa lugha
ya kigeni iliyozoeleka kuwa "Not-biodegradable".
Yapo madhara mengi ya kiafya kwa kutumia vyakula vilivyohifadhiwa ndani ya mifuko hiyo pia kuzagaa kwa mifuko hiyo kwenye mazingira.Kuzagaa kwa mifuko ya rambo kumeendelea kuleta madhara kwa viumbe vya majini na nchi kavu.

KIUNDANI ZAIDI UNAWEZA KUPITIA MAKALA YANGU ILIYOANDIKWA KWA LUGHA YA KIINGEREZA KUPITIA:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni