Jumanne, 21 Mei 2013
Photo: http://worldwildlife.org/species |
Kuna
viumbe ambao ni adimu sana, mfano faru,ni kutokana na hali yao ya
kuzaliana; kuna mpishano mkubwa wa miaka ya kuzaliwa kati ya mmoja na
mwingine.Pia huzaa idadi ndogo ya vizalia.Viumbe hawa adimu wanapaswa
kutunzwa kama mboni ya jicho kwa mantiki kwamba wapo kwenye hatari kubwa
ya kutoweka duniani.
Inafahamika
kwamba viumbe vyote duniani huishi kwa kutegemeana na endapo kutatokea
upungufu au kutokuwepo kwa kiumbe fulani, hupelekea kuharibika kwa
mlishano ulio sahihi kwenye eneo husika viumbe vinapopatikana.
Ni
jukumu letu kuwatunza viumbe hao adimu na ikiwezekana kuwazalisha
katika maeneo mengi duniani kuzingatia na mazingira furahishi kwa viumbe
hao.
Taarifa nyingine:
http://www.slideshow.com/users/heka/extinction-of-species-690254261
http://mazingira-leat.blogspot.com/2010/10/vyura-wa-kihansi-thamani-ya-maliasili.html
Taarifa nyingine:
http://www.slideshow.com/users/heka/extinction-of-species-690254261
http://mazingira-leat.blogspot.com/2010/10/vyura-wa-kihansi-thamani-ya-maliasili.html
It's hard to find knowledgeable people in this particular subject, however, you seem like you know what you're talking about!
JibuFutaТhanks
Feel fгee tο visit my ρage - BlackϹhiрPoκeг Offеr **