Sauti na mafanikio yako katika kile unachotarajia kukifanya ili
kujipatia kipato yanategemea muunganiko wa mambo muhimu manne(4); Kipaji chako, Shauku
yako, dhamiri yako na kikubwa zaidi ni kuangalia uhitaji wa unachotaka
kukifanya kwenye jamii.
Zig Ziglar aliwahi kusema, “ukitaka kufanikiwa na kupata ukitakacho, wasaidie wengine kwanza kupata
wanachohitaji…”.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni