Tunajifunza ukweli wa jambo hili kutoka kwa mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya "Apple Computers na Pixar Animation"; Steve Jobs-ambaye kwa sasa hayupo duniani (Februari 24, 1955- Octoba 5, 2011).
Kupitia hotuba yake, alipoalikwa kuongea na wahitimu wa mwaka 2005 wa Chuo Kikuu cha Stanford.
Kupitia hotuba yake, akiongea na wahitimu wa mwaka 2005
katika Chuo Kikuu cha Stanford nchini Marekani aliweka bayana juu ya tukio
hili.
Ni mtu mjanja mmoja tu anaweza kukupindua katika kampuni
yako.
Ilikuwa kipindi kigumu kwa Jobs lakini mwenyewe hakukata
tamaa, kwa kuwa alipenda alichokuwa anaweza kukifanya na alisema hakuna sababu
ya kutofuata kile ukipendacho.
Hivyo basi aliamua kuanzisha kampuni nyingine ya Pixar
Animation akiwa na mke wake. Chakushangaza zaidi, Kampuni iliyomfukuza ilibidi
imuite tena kutokana na ubunifu mpya wa mfumo wa "animation" ambao
haikuwa nao.
Je, wewe ungerudi tena kwenye kampuni iliyokufukuza?
Tunapaswa kutambua kuwa hakuna kitu kinatokea bila sababu, hivyo hatupaswi
kukata tamaa, ila tutumie changamoto zinazojitokeza kusonga mbele kwa nguvu
zaidi kuliko ya awali...
Fuatilia hotuba kwa maandishi:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni