inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Jumapili, 7 Julai 2013

MUZIKI: USIPOJIKUBALI NANI ATAKUKUBALI? BEN POL ANATUPA UJUMBE KUWA TUJIKUBALI!


Hakuna kitu kizuri kama "ukijikubali" kuwa wewe ni wewe na hakuna mtu mwingine kama wewe!

 

 Leo katika safu hii ya Muziki tunakutana na msanii maarufu wa muziki wa miondoko ya R'n'B nchini Tanzania ajulikanaye kama Ben Pol.


Angalia video yake hapa, pia fuatilia mashairi ya wimbo wake uitwao "JIKUBALI"...utafanikiwa kama ukiamini, kuchukua hatua ya kutenda ukianzia pale ulipo!




BEN POL- JIKUBALI LYRICS

Verse1;
Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star
Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa
Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako
Usiache jambo Kati kwenye maisha yako
Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay
Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray
Mi Nakuasa it's your time,
Huwezi kuwa chini you've got somethin' special
Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto
Trust me iko siku utatimiza ndoto yako
You can be a Boss, you can be a Lawyer
You can be the President
You'll be successful

Chorus;
Wakati wako ndio leo (leo)
Kutimiza malengo yako,
Nakusihi Anza sasa (sasa)
Jishughulishe utapata (rudia mara mbili)

Verse 2;
Utavunja vunja miamba, hamisha milima
Vikwazo lazima nawe usirudi nyuma
You'll be a hero, you can be the best
You can be a leader (dedicate yourself)
Tanzania ni yako, penda watu wako
Kuwa mfano bora kwenye jamii yako
Star Kama AY , kufika alipo FA
Inawezekana if you work hard in it
Na utafika mbali utazame ulikotoka
Mbunifu mwenye hadhi kama Hadija Mwanamboka
Unaweza kuwa rubani, unaweza Hakimu
Unataka kuwa Salama, unaweza kuwa Hasheem'

(Rudia chorus)

(Bridge)
You can be a champion (Jikubali)
You can be a teacher (Jikubali)
You can be a leader (Jikubali)
You can be a Preacher (Jikubali)

MASHAIRI YAMECHUKULIWA:http://nolniz.blogspot.com

Imetolewa na
Jielimishe Kwanza!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni