inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Ijumaa, 5 Julai 2013

MTAZAMO: KUTOKA KUWA KATIKA KUNDI LA WAHARIFU HADI KUWA MILIONEA…TOA NAFASI YA PILI KWA MTU KUBADILIKA...



                                                                                Ryan Blair (Picha na vimeo.com)

Ryan Blair alikuwa na maisha magumu katika maisha yake.Akiwa na umri wa miaka 16, aliacha shule na akawa mmoja wa waongozaji wa kundi la waharifu lijulikanao kama “LA gang” amekamatwa na polisi mara 10.


Mwisho wa yote alifungwa jela miaka minne, baada ya hapo Ryan aliamua kubalisha maisha yake na kuomba msamaha kutoka kwa jaji.


Baada ya kuachiwa huru na kupewa nafasi nyingine, alimua kuwa msajiriamali, kujiabadilisha mwenyewe kitabia kutoka kuwa miongoni mwa waharifu na kuwa Mkurugenzi Mtendaji milionea wa kampuni ya  inayohusika na Virutubisho.


Akiongea na BBC Radio 5 live’ Ryan "Kila mtu anataka kufanya vizuri.Watu wanafanya makosa  kila wakati…Cha muhimu katika maisha ni kuwapa watu nafasi ya pili kama nilivyopewa mimi.”

Picha na www.facebook.com
 
Imetolewa na 
Jielimishe Kwanza!



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni