-->
Picha na www.nydailynews.com |
Kutokana na taarifa ya Shirika la afya duniani (WHO) za hivi karibuni zimebaini
kuwa 65% ya idadi ya watu duniani wana uzito uliozidi na kuwa na vitambi,
hii pia imedhihirisha kuwa kundi hilo
linaongoza kwa kupoteza maisha (kutokana na magonjwa mbali mbali ya tabia kama kisukari, shinikizo la damu, na magonjwa mengine ya moyo) kuliko kundi jingine la watu lenye uzito wa
chini ambalo ni sawa na 35%. (Uchunguzi huo ulijumuisha nchi zote zenye watu
wenye vipato vya juu na kati).
Huu ndiyo uhalisia…je hali yako ya mazoea
katika kula inakuweka kwenye kundi gani?
Kwa pamoja tutafahamishana mbinu 10 za
kukufanya uwe na uzito unaotakiwa kama ilivyoshauriwa na WHO kwa kuzingatia kipimo
cha usawazisho cha uzito wa mwili na urefu (BMI) kama ifuatavyo:
Picha na www.belfasttelegraph.co.uk
|
Ukitaka kujua kama uzito wako umezidi au
kupungua ungana na ukurasa wetu, tazama sehemu imeandikwa PIMA AFYA YAKO HAPA! JE, UNAHITAJI KUONGEZA AU KUPUNGUZA UZITO?
WASILIANA NASI 0754 572 143.(Hakikisha unafahamu uzito wako wa sasa(Kg) na
urefu wako(cm) kabla ya kuanza zoezi hili).
Tuungane kipindi kijacho kuzifahamu mbinu 10 za
kuthibiti uzito wako zilizo kinyume na mfumo mbaya wa ulaji.
Imetolewa na
Jielimishe Kwanza! kwa kushirikiana na CoNept-Afya.