N
|
imeona tushirikiane kwa pamoja kuitazama
nguvu ya vijana hasa waliopata fursa ya elimu kujitoa kusaidia jamii katika
eneo la watoto yatima hasa waishio katika mazingira magumu.
Kuna kipindi nilishangazwa kuona wahitimu kutoka nchi zilizoendelea kuchangisha kiwango cha chini cha shilingi 1000/= eneo la Mlimani City jijini Dar es salaam kwa lengo la kusaidia watoto yatima.
Kuna kipindi nilishangazwa kuona wahitimu kutoka nchi zilizoendelea kuchangisha kiwango cha chini cha shilingi 1000/= eneo la Mlimani City jijini Dar es salaam kwa lengo la kusaidia watoto yatima.
Nilijiuliza, hili ndilo lengo la kuja
nchini? au kuna agenda nyingine ya siri? Nilichukulia kama changamoto kwa
upande mwingine…endapo nguvu ya vijana na wanajamii kwa ujumla ikitambua umuhimu wa
kuchangia kwa ajili ya vituo vya watoto yatima, tunaweza kupunguza tatizo bila
kutegemea misaada kutoka nchi za nje.
Jielimishe Kwanza! iliiona nguvu ya vijana wahitimu wa vyuo vikuu kutoka Kikundi cha Lugalo Graduates' Network(LG-Network 2001) ikionekana kwa mchango wao wa dhati kwa watoto yatima.
Fuatilia undani wa kikundi hiki kupitia http://jielimishekwanza.blogspot.com/2013/08/vijana-katika-vikundi-kikundi.html
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni