Picha na descargar.info |
Hivi
ndivyo unavyoweza kutumia “browser“ mpya ya “Mozilla Firefox Aurora” kwa
Kiswahili na Lugha nyingine unayotumia.
2.Nenda eneo la kutafuta, chagua lugha unayotumia, mfano: Kiswahili/ Swahili.
3.Shusha
"Mozilla Firefox aurora" kulingana na uhitaji wa “computer" yako.
4.Fanya
“Installation” ya kifurushi kipya cha
“Firefox Aurora”kwenye computer yako.
5.Tambua
kuwa huwezi kutumia “Mozilla Firefox”
na “Mozilla firefox Aurora” kwa wakati mmoja. Unapaswa
kuifunga mojawapo unapotaka kutumia nyingine.
4.
Furahia matumizi ya “Mozilla firefox Aurora” kwa Lugha uipendayo.
UKIPATA TATIZO, TUWASILIANE .
Imetolewa na,
KWA KUTHAMINI, NA KUENZI LUGHA YA KISWAHILI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni