Makampuni
mengi huwekeza fedha nyingi kwa utafiti wa masoko ya biashara zao lakini
husahau suala muhimu sana la kujua kwanza mtazamo wa wateja.
Huu
ni mtazamo mpya katika muundo wa biashara utakaokufanya ufanikiwe sana katika
biashara yako:
Je, muundo wa biashara
yako unawatazama wateja kwanza kabla ya kufikiria faida kutoka kwao?
Ukiihitaji ushauri kuhusu muundo
wa biashara wenye mafanikio wasiliana na
Imetolewa na
Jielimishe Kwanza!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni