Ikiwa wewe ni mfuatiliaji
wa makala zetu kuhusu biashara utaona kuwa tunasisitiza sana kuhusu kuboresha
thamani ya ubora wa bidhaa ili kuliteka soko na pia kumshinda mpinzani wako
katika kugombea soko.Soma zaidi
Kama ilivyo ada,
wajasiriamali na wafanyabiashara hupaswa kutoa suluhisho la matatizo ya
watu.Kuna kanuni (10) za msingi zinazopaswa kufuatwa kufikia kuleta suluhisho
la matatizo pia kufikia lengo kuu na kujipatia kipato endelevu.Kanuni hizo ni;
1.
CHUNGUZA KWA MAKINI
HUDUMA/BIDHAA ILIYOPO KABLA YA KULETA YAKO
2.
BORESHA MAPUNGUFU YA
WENGINE, UPATE SEHEMU YA KUSIMAMIA
3. JIDHATITI KWA
KUJITOFAUTISHA NA WAFANYABIASHARA WALIOPO UKIBORESHA UBORA ZAIDI
4.
HAKIKISHA HUTOI SIRI
YA KUFANIKIWA KWAKO KATIKA SOKO
5.
JITENGENEZEE UPEKEE WA
THAMANI YA UBORA KATIKA SOKO
6.
TENGENEZA WIGO WA SOKO
LAKO NA USIMAMIE MSIMAMO WAKO
7.
WAKATI WOTE ANZA
KUFIKIRIA KUHUSU WATEJA WAKO; WANAHITAJI NINI KWA WAKATI HUSIKA? NA SI UTAPATA
NINI KWANZA KWA WAKATI HUSIKA:
8.
TENGENEZA MAHUSIANO
MEMA NA WATEJA WAKO…ZINGATIA UHITAJI WAO
9.
FANYIA KAZI MAONI YA
WATEJA WAKO KATIKA KUBORESHA UTHAMANI WA BIDHAA
10.
HATA SIKU MOJA
USISHUSHE BEI ZAIDI YA MPINZANI WAKO ILI UWAVUTE WATEJA KWAKO.
Tunakutakia
kila la heri katika biashara yako.Ikiwa utahitaji ufafanuzi wa mbinu hizi (10),
usisite kuwasiliana nasi:+255 754 572 143
Imetolewa na
Jielimishe
Kwanza! SE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni