inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Ijumaa, 2 Januari 2015

WATU MASHUHURI HUTUMIA SIRI HII KUWATEKA WAFUASI WAO…


…ifahamu siri hiyo ili kujizolea mashabiki na kusikilizwa!
Picha na albertaventure.com
Kwa kipindi kirefu Jielimishe Kwanza! Blog imekuwa ikifuatilia kwa ukaribu sana tabia au hulka za watu mbali mbali walio mashuhuli. Mwishowe kubaini kuwa watu hao wana hulka zinazofanana kupelekea mafanikio yao.
Utafiti huu unanikumbusha mshangao wa Profesa mmoja katika chuo kikuu cha “Nelson Mandela African Institution of Science and Technology” cha Arusha-Tanzania ambaye alipigwa na butwaa kuona /kusikia wanamuziki wa kizazi kipya almaarufu kama “Bongo Flavor” nchini Tanzania wanavyokuwa maarufu kuwapita Maprofesa wote wa vyuo vikuu. Hakupata jibu la swali lake na kuishia kupigwa na butwaa.
Naomba nimsaidie Profesa huyo na watu wengine wanaoendelea kujiuliza swali kama lake kwa kuwafunulia siri ya mafanikio ya vijana hao na watu wengine mashuhuri.
Kama nilivyoeleza awali, watu hawa mashuhuri wana hulka au tabia zinazofanana kupelekea siri ya mafanikio yao. 
JIPATIE KITABU " MTAZAMO WAKO NI UPI? Mtazamo Wako, Maisha Yako" kuifahamu SIRI hiyo iliyoainishwa katika moja ya SURA zilizosheheni ndani ya kitabu hiki, uweze kuitumia ili kufanikiwa. PIGA +255 754 572 143
https://www.facebook.com/pages/Mtazamo-Wako-Ni-Upi/1527825034153354

Imetolewa na
Jielimishe Kwanza! Social Enterprise.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni