inspire

inspire

Lebo

AFYA (8) AJIRA (5) BIASHARA (39) ELIMU (14) MAHUSIANO (2) MALEZI (16) MAZINGIRA (12) SAIKOLOJIA (48) VIJANA (7)

Business registration

Green Consulting

business consultancy

business consultancy

Business consulting-2

Business consulting-2

Professional Consulting

PDC

Swahili translator

Swahili translator

TANGAZO-KITABU

E-BOOK: MTAZAMO WAKO NI UPI?

TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- .... TANGAZO:Kitabu kipya. Kitabu! Kitabu!Kinauzwa Katika Maduka Ya Vitabu.Pia M-Pesa 0754 572 143, Tigo Pesa 0716 075 826.Ili Kikufikie Ulipo, Tafadhali Ongezea Sh.10,000/- ....

TANGAZO TUWEZESHANE

TANGAZO TUWEZESHANE

DARDY'S INVST-20/10/2017

DUNIA IKUONE

DUNIA IKUONE

Jumanne, 1 Oktoba 2013

MTAZAMO:UJASIRIAMALI JAMII- "SOCIAL ENTERPRENEURSHIP"- NJIA MBADALA YA KUJIENDESHA KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI


K
wa miaka mingi tangu kuingia kwa Mashirika yasiyo ya Kiserikali ( Kwa lugha ya Kiingereza kama Non Governmental Organizations-NGOs )katika nchi mbali mbali hususani Tanzania yamekuwa yakitegemea fedha za kuendesha miradi ya kijamii kutoka kwa wafadhili.
Mashirika hayo yasiyo ya Kiserikali yamekuwa yakishirikiana na Serikali bega kwa bega katika kutatua changamoto mbali mbali za kijamii.
Mafungu hayo ya fedha kutoka kwa wafadhili yamekuwa na masharti yaliyo sanjali na kuhakikisha miradi inakuwa na tija kwa jamii kama ilivyokusudiwa.
Ingawaje baadhi wadau wengine katika Mashirika hayo wamekuwa wakitumia ujanja ujanja kujineemesha na fedha hizo za wafadhili.Hili limepelekea wafadhili wengi kujing’atua kutoa misaada na kuyaacha Mashirika hayo yasiyo ya Kiserikali solemba, yakiwa na kiu za kutimiza miradi mbali mbali.
Ujasiriamali jamii- “Social Enterpreneurship”…Njia mbadala ya kuepuka utegemezi na kuleta tija ya moja kwa moja kwa jamii!
Picha na sagescholars.berkeley.edu
Ujasiriamali jamii- 
“Social Enterpreneurship”-
Tunatambua tatizo kwa pamoja, tunatumia kanuni na mbinu za kitaalamu mfano: kanuni za biashara kuleta badiliko kubwa katika jamii kama tulivyokusudia, lenye faida kwa jamii nzima na si kwa mtu mmoja...wakati huo huo Shirika letu la Kijamii likikua na likijiendesha lenyewe siku hadi siku!
_______________________________________________________________________________________________________________ 
Soma undani na umuhimu wa Ujasiriamali jamii -“Social Enterpreneurship” kupitia http://www.caseatduke.org/documents/dees_sedef.pdf

Imetolewa na


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni